Kauli Mpya ya Faiza Ally 'Sikuachwa Niliondoka Mwenyewe, Baba Mtoto Alitaka Kunikomoa'


Kauli Mpya ya Faiza Ally 'Sikuachwa Niliondoka Mwenyewe, Baba Mtoto Alitaka Kunikomoa'
Faiza Ally

Kauli ya iamfaizaally kuhusu kuitwa single mother, utofauti waa stori ya maisha yake na single mothers wengine, iamfaizaally anasema, 

"Sijawahi kupata bahati mbaya kwenye mapenzi …. Sijawahi kunyanyaswa kwa namna yoyote, na pendwa sana , na pendwa mpaka na ma ex na nilie nae ana nipenda sana , kuja Tanzania kwa ajili ya kuniona tu tena bila hata kuvunja nazi Famasiala nini 🤣🤣🤣🤣 sema mimi ni aina ya mwanamke ninae penda sana uhuru wangu , Yaani nikiamua nichague mapenzi na uhuru nachagua uhuru 😄, Na ndio maana na enjoy sana mapenzi ya mbali Yaani naona raha tu 😁😁😁, Na mpaka leo sina mchumna wala mtarajiwa wa ndoa yoyote wa kuishi nae wala siwazagi sana sana nikiwa sina hela ndio nawaza hawa wababa watoto vipi lkn nikipata hela mambo yakienda fresh siwazi kabisa 😄😄😄
KESI ZETU HAZIFANANI 🫶🏻💪🏽

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad