Kifo cha Mwanafunzi UDOM Bado Utata Mtupu Polisi Yashirikisha Ofisi ya Mkemia Mkuu


Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kifo cha Mwanafunzi wa Shahada ya Kwanza (#UDOM), Nusura Hassan Abdallah na kuwa wanashirikiana na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Wadau wengine wa Haki Jinai

Msemaji wa Jeshi la Polisi, SACP David Misime amesema “Taarifa za kifo hicho zinamhusisha Naibu Waziri wa TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange. Pia, inadaiwa kimetokana na kipigo kutoka kwa mpenzi wake, hivyo uchunguzi umeanzia Hospitali alikotibiwa marehemu na ukikamilika tutatoa taarifa kwa umma.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad