Kumekucha Rayvanny na Paula, Rayvanny Anadai Paula Alitoka Kimapenzi na Kaka yake Anaemuheshimu Katika Muziki


Msanii Rayvanny afunguka sababu ya kuachana na aliekua mpenzi wake Paula Kajala kuwa ni baada ya kugundua kuwa alitembea na mtu anaemueshimu sana kwenye muziki.

Nimekuwekea ujumbe alioandika rayvanny kupitia instagram story yake, Soma ujumbe huo hapa chini


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad