Lemutuz Afariki Dunia


Mwanamtandao maarufu Nchini Tanzania William Malecela maarufu kama ‘LeMutuz’ ambaye pia ni Mmiliki wa Online TV ya LeMutuz amefariki dunia leo Jijini Dar es salaam.

Taarifa za kifo cha LeMutuz ambaye ni Mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania John Malecela zimethibitishwa na Ofisi yake pamoja na baadhi ya Ndugu zake.

Mmoja wa Ndugu hao ameiambia @AyoTV_ kuwa wanasubiri taarifa rasmi ya familia ili Vyombo vya habari vipewe taarifa kamili juu ya kifo hicho cha Rafiki wa wengi Ndugu LeMutuz. #RIPLEMUTUZ

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad