Majizzo "Ni Rahisi Kuigiza Maskin Kuliko kuigiza Tajiri"


Majizzo ameaminisha Watanzania kwamba ni rahisi sana Tajiri kuigiza ni Maskini ila ni Vigumu sana Maskini kuigiza ni Tajiri.

Kuigiza ni tajiri ni Gharama sana, Maskini hawezi kabisa, Zaidi atachanika Msamba na Kufanya mambo ambayo hayakubaliki katika Jamii.

Ushauri wa Bure!

Kijana Usiishi maisha yako Halisi, utadharaulika. Igiza kidogo wala usizidishe sana. Ule ushauri kwamba Ishi maisha yako upuuze, Jiji la DAR Bila Mbwembwe hutoboi, ukikaa kinyonge na Kujifanya Maskini utachukuliwa Poa.


Fake until you Make it!!

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad