Marioo Analakujifunza Kwa Hili Linaloendelea Kati Paula Kajala na Rayvanny...La Sivyo Litamrudia na yeye Wakiachana

Marioo na Paula
Marioo na Paula



Alianza kwa kuvujisha chats zake na Harmonize kwa Rayvanny hafi zikafika mitandaoni, watu tukaona eeh hii tena vipi, ukizingatia ni watu ambao wamewahi kuwa kwenye uhusiano wa siri kitu ambacho kimethibitishwa na mama mzazi wa Paula kwenye Reality Show yao.

Leo hii, Aliyepewa chats za Ex, kawa Ex na anachambwa mitandaoni, Tena anaongea vitu vizito pasi kujali inampunguzia uaminifu kwa watu wengine atakao kuwa nao kwenye mahusiano.

Ni kweli uwenda amewahi umizwa na tabia za Rayvanny, ila kwa mtoto wa kike kumtukana mitandaoni mwanaume uliyewahi kuwa naye kwenye mahusiano, inaogopesha kwa uliyenaye currently.

Nadhani Insta Storie za Paula ziwe notes kwa Marioo kusoma aina ya mwanamke aliyenaye kwenye mahusiano, kwa sasa Penzi liko site uwezi ona, litakapokuwa linaelemewa ndio atajua mambo yanavyo badilika.

Hasipo jifunza hapa, hatojifunza tena.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad