Web

Marioo: Mbosso Hatuna Sababu ya Kugombana

Top Post Ad

The Kid You Know Marioo amuomba msanii mwenzake (@mbosso_) kumaliza tofauti zao baada ya hivi karibuni zilitembea tetesi kuhusu maneno yanayoendelea mtandaoni kwa sasa hawana maelewano mazuri kama mwanzo.

Mbosso alizungumza na kudai akikutana na Marioo wanazungumza vizuri ila kwenye mahojiano anamzungumzia vibaya.

Marioo ametumia insta story na kusema kuwa hawana sababu ya kugombana na kama kuna chochote kimetokea sio kizuri wasimkaribishe shetani wasameheane.

Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.