Marumo yafafanua sakata la wachezai wao kudaiwa kugomea mazoezi

Marumo yafafanua sakata la wachezai wao kudaiwa kugomea mazoezi

Klabu ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini imesema kuwa hakuna mchezaji wake hata mmoja anayedai mshahara wala bonasi kwani pesa zote zimeshalipwa tofauti na taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa wamegomea mazoezi kwa kuwa hawajalipwa bosani zao za mechi kadhaa za kimataifa.


Marumo ambao kesho wataingia Dimbani kuvaana na Yanga katika mchezo wa pili wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, mpaka sasa hawajaonyesha mazoezi yao popote huku Yanga wao wakiendelea kujinoa hadharani bila woga wala kificho.


Mchezo wa kwanza, Yanga ilishinda kwa bao 2-0 kwenye Dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam.


Taarifa rasmi ya klabu hiyo inasomeaka;

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad