Masha Love "Nimerithi Matunguli ya Uganga wa Kienyeji Kutoka Kwetu"



Mrembo Lulu ambaye amejizolea umaarufu kwenye mtandao wa tiktok kwa jina la Dotto Waziri, ameeleza kuwa kazi yake rasmi ni uganga wa kienyeji

Dotto amesema kuwa kazi hiyo amerithi kutoka kwao kwani kuna asili ya mambo hayo

"Binafsi sikuwa najua kama nina uwezo huu wa uganga wa kienyeji, lakini ilianza baada ya kulogwa, sikua kichaa wa kuokota makopo lakini niliumwa sana. Kuanzia hapo ndio nikawa napandisha majini kitu ambacho sikujua kama ninacho"

"Mwaka jana mwezi wa Saba ndio niliyakubali majini na kuupokea uganga. Mwanzo sikuwa nataka sababu ya Usichana wakati mwingine nataka kunywa pombe ila nikinywa yananikaba"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad