Kupitia jarida la World of Statistics limetoa takwimu zinazoonyesha mataifa yenye kiwago kidogo zaiodi cha Talaka kwa wanandoa na pia mataifa yenye kiwago kikubwa cha Talaka kwa wana ndoa, Taifa lenye kiwango kidogo zaidi kwa Talaka kwa mwaka ni India likiwa na asilimia 1 tu ya kiwango cha Talaka kwa mwaka likifuatiwa na Vietnnam, mataifa yote yanapatikana kwenye bara la ASIA.
Mataifa yenye kiwango kikubwa zaidi cha wana ndoa kupeanna talaka ni Ureno lennye asilimia 94 huku likifuatiwa na taifa la Uhispania lenye asilimia 85.
Katika mataifa hayo yote duniani bara la Afrika limewakilishwa na mataifa ya Misri na Afrika Kusini, Misri ikiwa nafasi ya 6 duaniani kwa asilimia 17 na Afrika kusini nafasi ya 7 kwa asilimia hioyo hiyo 17.
India: 1%
Vietnam: 7%
Tajikistan: 10%
Iran: 14%
Mexico: 17%
Egypt: 17%
South Africa: 17%
Brazil: 21%
Turkey: 25%
Colombia: 30%
Poland: 33%
Japan: 35%
Germany: 38%
United Kingdom: 41%
New Zealand: 41%
Australia: 43%
China: 44%
United States: 45%
South Korea: 46%
Denmark: 46%
Italy: 46%
Canada: 47%
Netherlands: 48%
Sweden: 50%
France: 51%
Belgium: 53%
Finland: 55%
Cuba: 55%
Ukraine: 70%
Russia: 73%
Luxembourg: 79%
Spain: 85%
Portugal: 94%