Mayele sio Mshambuliaje Namba Moja Afrika, Ingia Hersi Anampamba tu Mshambuliaji wake




"Ukizungumzia Fiston Mayele kama moja ya washambuliaji bora hapa Afrika hapo nakubali, lakini ukisema Mayele ni nambari moja Afrika hapo siwezi kukubaliana na Injinia Hersi, anampamba tu mchezaji wake"

"Afrika kuna washambuliaji bora kama wakina Hamza Khabba, Peter Shalulile, Kahraba wanafanya vizuri kwenye klabu bingwa lakini Mayele anafanya vizuri kwenye Shirikisho"

- Maneno ya Mchambuzi @tiganatz wa Efm Tanzania, baada ya Injinia Hersi kusema kuwa Fiston Mayele ndiyo mshambuliaji bora namba moja Afrika kwa sasa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad