Mkuu wa Mkoa Amosi Makala Amuomba Waziri Mkuu Kukutana na TRA Kisa Mgomo wa Wafanyabiashara Karikooo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo kumuona Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye leo atakutana na uongozi wa TRA, mawaziri husika na kamati ya wafanyabiashara ili kutafuta suluhu ya mgomo huo.

Makalla amesema hayo leo Jumatatu Mei 15, 2023 alipotembelea Soko Kuu la Kariakoo ambapo wafanyabiashara wamegoma kufungua biashara zao wakilalamikia utitiri wa kodi.

Nimemuomba Waziri Mkuu akimaliza kuzika akutane na TRA, viongozi husika wakae wajadili hili ili lifike mwisho" Amsema Makala

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad