Msanii Davido Amuheshimisha Harmonize, Adata na Wimbo wa I'm Single Again, Azama DM na Kumuandikia Haya


Msanii kutoka nchini Nigeria @davido ameonyesha mapenzi yake waziwazi juu ya wimbo wa @harmonize_tz "Single Agan" huku akisema si yeye peke yake mpaka mkewe pia anaupenda sana.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram @harmonize_tz ameweka Instastory ya DM ya @davido (Hiyo Hapo Juu) ambayo amemuandikia kuwa "Mimi na mke wangu tunaupenda sana huu wimbo" na #Harmonize akamjibu "Mungu aibariki familia hii nzuri".

Unadhani tunaweza kupata kolabo kati ya wawili hawa hivi karibuni?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad