Mwaka 2018 Yanga Walipoteza Ugenini Kwa Bao 4 Kwa Bila Dhidi ya USM Alger



"Walikutana mwaka 2018, Yanga Nyumbani ilishinda 2-1, na Ugenini wakapoteza, yaani USM Alger walishinda 4-0, kwa hivyo hapa nyumbani kushinda ni rahisi kuliko ugenini ingawa yanga kwa sasa ugenini ni wazuri zaidi.

"Kikubwa ni kutoruhusu Goli hapa nyumbani @yangasc " @anwarbinde Rais wa Takwimu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad