Nai Atoa Mpya 'Sitaki Tena Vijana, Nataka Mbaba'





Kwani Vijana wa Bongo Mnakwama wapi?

Mrembo @officiall_nai amesema Kwa Sasa Yupo single na endapo atataka kuingia kwenye mapenzi basi atatafuta Mbaba flani hivi lakini sio kutoka tena na Vijana

Nai amefunguka kupitia #NewsBeat ya The Switch na kumuacha @mtuimara akiwa na maswali "tumekufanya nini Nai?"

Hata hivyo Nai ametoa sababu na kusema vijana wengi bado hawajatulia na yeye hataki tena mambo ya kurukaruka Bali anataka mtu atakayetulia naye

Unakubaliana na Nai Kwa Asilimia Ngapi?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad