NEMC Yazifungua Baa 20 Kati ya 89 Zilizofungwa



Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (#NEMC), Dkt. Samuel Gwamaka, amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kutafakari athari za kiuchumi pamoja na wahusika kukiri makosa yao kwa barua na kulipa faini

Amesema “Waliofunguliwa tumewapa maelekezo ikiwemo kushughulikia changamoto za kelele ndani ya siku 30, tofauti na hapo wanaweza kunyang'anywa leseni kabisa."

Baadhi ya sehemu za starehe zilizofungwa ni Boarddroom, Wavuvi Camp, Warehouse, Avoco, Kitambaa Cheupe, Element, Chako ni Chako, Rainbow, Gentlemen, Liquid na Soweto

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad