Nimeongea na Juma Mgunda na Ally Kamwe Wameyamaliza Kwa Roho Safi




Nimeongea na Ally Kamwe na kocha Juma Mgunda kwa nyakati tofauti, nimefurahi wote wamesikitishwa na kilichotea baina yao na wameyamaliza. Mtoto kajutia kosa na kuomba radhi mzazi kasamehe kwakuwa kijana amejikwaa ulimi. Lililo mbele ni mechi ya fainali ambayo ni muhimu kwa taifa.

By Bin Kazumari

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad