Nini Kimemtokea Chama wa Simba? Kiwango Kimeshuka?


"Nini kimemtokea staa wa Simba kwa sasa Chama?,amecheza chini ya kiwango kwenye mchezo wa nyumbani dhidi ya Wydad, pia amecheza kwenye kiwango cha kawaida dhidi ya Azam FC, amechoka ?, ameshuka kiwango ?, anakamiwa ?, au tuishi kwenye eneo la fomu ni temporary na class ni permanent ?!"

𝙇𝘼𝙒𝘼𝙈𝘼 𝙕𝙄𝙈𝙀𝙂𝙀𝙐𝙆𝘼 𝙆𝙒𝘼 𝙈𝙒𝘼𝙈𝘽𝘼 𝙎𝘼𝙎𝘼
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad