Profesa Jay Afunguka Kwa Nyingine Tena 'Leo Nimeanza rasmi Oparation Rudisha Shavu'



Profesa Jay anaendelea kutuonesha kuwa kwa sasa yupo sawa kiafya baada ya kukaa muda mrefu akijiuguza, Ameweka picha hii katika mtandao wake na kuandika haya

"Leo Nimeanza rasmi Oparation Rudisha Shavu , nikiwa na mdogo wangu wa damu @blackchatta hapa kwa @kazimotopork TABATA SEGEREA , Karibuni sana🙏🙏🙏"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad