Rais Samia Aongeza Fesha Zawadi ya Kila Goli Kwa Yanga Fainali..Sasa ni Milioni 20 Kwa Goli


Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuongeza Fedha za Motisha kwa Yanga SC inayoshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kutoka Tsh. Milioni 10 hadi Tsh. Milioni 20 kwa kila goli la ushindi
-
Uamuzi huo unafuatia ushindi wa Magoli 4-1 dhidi ya Marumo Gallants FC ya Afrika Kusini ulioipeleka Yanga SC katika Fainali ikiwa ni Timu ya kwanza kutoka Tanzania kufanikiwa kufika hatua hiyo lakini amesisitiza Fedha hizo zitatolewa ikiwa Magoli yataipa ushindi Timu
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad