Rapper Rosa Ree Atupa Suprise ya Mwaka Aonesha Mtoto wake



Rapa Rosa Ree (@rosa_ree) ametupa surprise ya mwaka, leo kwenye siku ya Mama Duniani ametupa taarifa kuwa kwa sasa ni Mama.

Rosa Ree ametuonesha kuwa amepata mtoto mwaka huu kupitia video ambayo amei-share hapa instagram.

“Wanadamu tumepewa uwezo mkubwa na Mungu, lakini hakuna nguvu tuliyopewa inayozidi ile ya kuwa MAMA! Motherhood is the biggest power given to us humans by GOD! I am proud to announce on this year's Mother's Day that I too, AM A MOTHER! Happy Mother's Day.”

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad