RC Chamila Atumia Bajaji Apita Mwenge na Ubungo


"Leo hii nimetembea Mwenge, Ubungo na nilitumia usafiri wa Bajaj lengo lilikuwa ni kuangalia 'impact' ya moja kwa moja iliyopo kati ya ufungwaji wa maduka pamoja na wafanyabiashara na wachuuzi ambao wanapatikana pembezone mwa Kariakoo.

"Jambo ambalo nimeligundua kama hali itakuwa hivi ilivyo maana yake impact yake itakuwa ni kubwa kwa Wafanyabiashara wachuuzi ambao wanaganga karibu kila siku huku mtaani lazima kwa namna yoyote ile itaathiri biashara zao. Na Mhe Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameonyesha nia ya kutatua huo mgogoro na ndio lengo kubwa la Rais Samia Suluhu Hassan kwamba si kumkandamiza Mfanyabiashara" Albert Chalamila, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad