Sakata la Moses Phiri Kutaka Kuondoka Simba..Kiongozi Aingilia na Kumbakisha



Kuhusu taarifa za straika wa Simba, Moses Phiri kutaka kusepa kutokana na kushindwa kupata nafasi kikosi cha kwanza, upepo umebadilika staa huyo ataendelea kusalia Msimbazi.

Mwenyekiti Salum Abdallah alimwita Phiri na kumweleza bado wanamhitaji, hivyo wakakubaliana kwa amani

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad