Shafih Dauda Atoa Ukweli Mchungu ' Yanga Wanafunga Popote ila Simba Wanashinda Nyumbani'






Uchambuzi wa Shaffih Dauda  Kuhusu utofauti wa Yanga na Simba✍️

"KItu kinachofanya Yanga ionekane Bora kimataifa,Yanga inashinda kokote,nyumbani na ugenini kwenye mechi za kitaifa ,ila Simba inashinda nyumbani tu kwa mkapa wakitoka nje ya nchi Wanaloa magoli" Shafih Dauda


Sema nini Simba Wamekufa Kiume Bwana.....




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad