TAARIFA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Afanye Uteuzi Mpya


TAARIFA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Moremi Marwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA).

Bw. Marwa ni Mtendaji Mkuu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza (SHIMA). Uteuzi huu umeanza tarehe 14 Mei, 2023.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad