Tanasha Dona Adaiwa Kupata Mpenzi Mpya Mpiga Picha, Mwenyewe Afunguka


Inasemekana Mama mtoto wa @diamondplatnumz mrembo kutoka nchini Kenya @tanashadonna amepata mpenzi mpya Raia wa Nigeria anayefahamika kama @zpxnso hii ni mara baada ya kuonekana comment ya #Tanasha kwenye post ya mwanaume huyo na yeye kumjibu.

Kwenye post hiyo tanasha ameacha coment kwa kuandika "Look at you!Proud of You! I'ii be coming soon Inshaallah😍🤍" na @zpxnso akamjibu kwa kuandika "My love thank you so much .Can't wait to reunite"🤍🤍🤍🙏🙏". @zpxnso ni mpiga picha kutoka nchini Nigeria.

Baada ya tetesi kusambaa mtandaoni kuwa @tanashadonna ana uhusiano wa kimapenzi na mpiga picha kutoka Nigeria @zpxnso mrembo #tanashadonna amepinga vikali tetesi hizo huku akiwataka watu kuacha kuandika kuwa wana uhusiano wa kimapenzi kwani wao ni marafiki tu.

Kwenye moja kati ya page kutoka Kenya ambazo ziliandika story hizo kumuhusu mrembo huyo na mpiga picha wa Nigeria @tanashadonna alienda kucomment kwa kuandika " NO NO NOOOO" na comment nyingine kuandika "Nahhhhhh stap we friends!!.". Kwahiyo kama wewe pia ni mmoja kati ya watu waliompongeza @tanashadonna kwa kupata mpenzi mpya basi baki na pongezi hiyo kwani mrembo huyo amekanusha uvumi huo.
.

.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad