Tessy Chocolate : Irene Uwoya Hajawahi Kuwa Mshkaji Wangu

Tessy Chocolate : Irene Uwoya Hajawahi Kuwa Mshkaji Wangu


Mrembo ambaye alikuwa anaaminika kuwa alikuwa na urafiki wa karibu na muigizaji, Irene Uwoya, Tessy Chocolate, amesema kuwa mrembo huyo hajawahi kuwa rafiki yake wa karibu.


Akizungumza na Wasafi FM, Tessy alisema, watu wameibua maneno kuwa ana tatizo na Uwoya baada ya kuona haonekani naye mara kwa mara kama ilivyokuwa zamani.


"Uwoya hakuwahi kuwa mshikaji ila kuna rafiki yake yeye ndiye alikuwa mshikaji wangu mimi sasa ule urafiki na huyo rafiki yake ulipokufa ndipo na mimi nilipokuwa mbali naye lakini hata hivyo hakuwa mshikaji wangu sana," alisema Tessy.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad