Timu ya Marumo Gallants Wagomea Basi Waliloandaliwa na Yanga


Kikosi cha Marumo Gallants kimewasili alfajiri ya leo na walipofika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere waligomea kupanda basi maalum lililoandaliwa na wenyeji wao Yanga Sc badala yake wakachukua coaster na kuondoka nayo

Marumo awali walipaswa kuwasili asubuhi ya Jumapili lakini hawakufanya hivyo na badala yake wameingia nchini Alfajiri ya Jumanne

𝙉𝙄 𝙈𝙒𝙀𝙉𝘿𝙊 𝙁𝙄𝙏𝙉𝘼 𝙏𝙐 𝙉𝘼 𝙆𝙐𝙏𝙀𝙂𝙐𝘼 𝙈𝙄𝙏𝙀𝙂𝙊
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad