Timu Zilizotinga Hatua ya Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika


YANGA wemeweka historia ya kutinga kwa mara ya kwanza hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Yanga imetinga hatua hiyo baada ya kuifunga Rivers United kwa jumla ya mabao 2-0 ambayo waliyapa kwenye mchezo wa kwanza nchini Nigeria kabla ya kutoka suluhu kwa Mkapa.

Vijana hao wa Nasreddine Nabi watacheza dhidi ya Marumo Gallants F.C. ya Afrika Kusini kwenye hatua ya nusu fainali.


Timu zilizotinga nusu fainali kombe la Shirikisho Afrika

🇹🇿 Yanga SC
🇨🇮 Asec Mimosas
🇩🇿 USM Alger
🇿🇦 Marumo Gallants

Droo ya nusu fainali CAFCC

Yanga SC 🇹🇿 🆚 🇿🇦 Marumo Gallants

Asec Mimosas 🇨🇮 🆚 🇩🇿 USM Alger

Yanga wataanzia nyumbani katika Uwanja wa Benjamin Mkapa mnamo Mei 10, 2023 kabla ya kurudiana na Marumo Gallants huko Afrika Kusini wiki moja baadae Mei 17, 2023.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad