Try Again Afunguka Ukweli Mchungu 'Simba Tulijikwaa Tulipowauza Chama na Miquissone'


Try Again Afunguka Ukweli Mchungu 'Simba Tulijikwaa Tulipowauza Chama na Miquissone'

“Watu wanaangalia sana hapa tulipoangukia lakini hatujaangalia pale tulipojikwaa. Tulijikwaa miaka miwili nyuma tulipowatoa Chama na Miquissone, hatukuandaa mbadala wao mapema. Tulimtoa Chama mbadala wake akawa Banda, ukiangalia uzito wao haulingani.”

- Salim Abdallah 'Try Again', Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi Simba Sc

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad