UDOM yatoa taarifa rasmi kuhusu mwanafunzi Nusura Abdallah aliyefariki Dunia hivi karibuni "Alioekana Maeneo ya Chuo Jioni"

UDOM yatoa taarifa rasmi kuhusu mwanafunzi Nusura Abdallah aliyefariki Dunia hivi karibuni "Alioekana Maeneo ya Chuo Jioni"

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Wametoa Taarifa Rasmi Kuhusu Kifo cha Aliekuwa mwanafunzi Wa Chuo Hicho akijulikana Kwa Jina La Nusura Hassan Abdallah.

Chuo kimesema mwanafunzi Huyo alifariki wakati akipatiwa matibabu Katika Hospital Ya faraja iliyopo Himo, Kilimanjaro.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad