Ukweli Usemwe kwa sasa Afrika Mashariki hakuna timu kubwa zaidi ya YANGA


Hakuna MTANZANIA yeyote aliyewahi Kushuhudia Timu ya Tanzania Ikicheza Fainali ya Kombe la Shirikisho. YANGA inakuwa timu ya Kwanza Kuweka rekodi hiyo na Kutupa nafasi hii. Ukweli Usemwe kwa sasa Afrika Mashariki hakuna timu kubwa zaidi ya YANGA. Hongera Watani hili Kombe ni lenu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad