Updates: Watu 7 Wajeruhiwa Ajali ya Lifti Millenium Tower, Ilianguka Kutoka Ghorofa la Kumi




Watu saba wamejeruhiwa baada ya 'lift' katika jengo la Millenium Tower - II Makumbusho, kuporomoka kutoka ghorofa ya 10

Chanzo cha ajali hiyo kinatajwa kuwa ni 'lift' kuzidiwa uzito baada ya watu zaidi ya 10 kuingia kwa wakati mmoja

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad