Harmonize noma, atupa Mil. 353 kwenye video




Staa wa Muziki wa Bongo Fleva Rajabu Abdul 'Harmonize' ambaye kwa sasa yupo huko Miami, Florida kwa ajili ya shughuli zake za kimuziki.

Akiwa huko, mwamba anaandaa video zake mbili mpya kama alivyotangaza kuwa atashoot video mbili katika mji huo.

Sasa kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory), ametufahamisha kuwa ni mara yake ya kwanza kuwekeza mkwanja mrefu kwenye Music video yaani amewekaza zaidi ya Tsh.Milioni 353. (USD 150k).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad