Watu Wanne Wafariki Ajali ya Lori na Gari la Magazeti

 


Tukio limetokea #Mikumi eneo la Ruaha Mbuyuni ikihusisha Gari ndogo pamoja na Lori ambapo Watu wengine watatu wamejeruhiwa na kupelekwa Hospitali ya Mikumi kwa matibabu ambapo mmoja ameruhusiwa

Kamanda wa Polisi, Alex Mukama amesema “Ajali imetokea saa 11 alfajiri baada ya Gari ya Magazeti aina ya Noah kuparamia Lori kwa nyuma likiwa limeegeshwa baada ya kuharibika.”

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad