Waziri wa Elimu Ampachika Mimba Naibu Waziri Wake, Adai ni Ajali Kazini


DRC: Waziri wa Elimu ya Msingi ya Sekondari na Ufundi (EPST), Tony Mwaba Kazadi amedaiwa kumpa ujauzito Naibu Waziri wake, Aminata Namasia akidai ni ajali kazini

Tony na Aminata wametajwa kuwa wapenzi kwa muda mrefu ambapo kufanya kazi pamoja kulichangia hisia kuongezeka baina yao licha ya ukweli kwamba wote wana Ndoa zao

Raia wa DRC wametumia Mitandao ya Kijamii kumkashifu Waziri huyo na Naibu wake wakisema wameonesha tabia mbaya na uthibitisho wa ukosefu wa Maadili Nchini humo

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad