Wema Sepetu : Whozu Apewe Ulinzi na Serikali

 

Wema: Whozu apewe ulinzi

Muigizaji wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu, amefunguka kuwa mpenzi wake wa sasa Whozu anampa amani ya moyo.


Akizungumza na Clouds TV mapema hii leo Mei 24, 2023, Wema alisema mwamba anahitaji ulinzi maana ndio furaha yake.


"Chibaba anaendelea vizuri. Na @whozu_ amekuwa na influence kubwa na nzuri sana. Na inaanza kwangu mwenyewe hata ninavyojisikia sijawahi kujisikia ninavyojisikia tangu niwe kwenye Mahusiano kama nilivyokuwa na Chibaba. Pia amenipa positive energy fulani hivi. Kiukweli Kijana (Whozu) apewe ulinzi" @wemasepetu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad