Wema Sepeytu "Niliyopitia ingekuwa mwingine angekufa"

 

Wema Sepeytu "Niliyopitia ingekuwa mwingine angekufa"

Mrembo Wema Sepetu ameweka wazi kuwa, tangu alipotangazwa kuwa Miss Tanzania na kuuvaa umaarufu mpaka leo, amekutana na changamoto nyingi sana.


Wema amesema, watu wanaweza kumuona kama si mtu wa kuvumilia mambo lakini ukweli ni kwamba amebeba mengi na kuyavuka.


"Kuanzia 2006 hadi Leo bado nipo. Nasemwa kwa Mabaya, mazuri machache. Nimeweza kuwa na ujasiri. Watu wanafikiria Mimi nipo very soft lakini Mimi nipo very strong. Ingekuwa ni mtu mwingine kwa niliyoyapitia angekuwa ameshakufa. Inafikia kipindi kuna maamuzi mabaya nataka kuyafanya lakini nafsi inaniambia 'No Wema' kuna sauti inaniambia hapana," alisema Wema alipokuwa Clouds TV leo Mei 23, 2023.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad