Yanga Yatoa Tamko Baada ya Safari yao Kwenda Singida Kushindikana Sababu ya Ndege


Idara ya habari na mawasiliano ya Klabu ya Yanga imesema ipo kwenye mipango ya haraka kuhakikisha Kikosi cha timu yao kinasafiri kwenda Singida kucheza mchezo wao wa NBCPL siku ya Alhamisi Mei 4, 2023 .
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad