Zuchu Aachia Ngoma iliyoongozwa na Diamond Platnumz

 


Mrembo anayefanya vizuri kunako anga la muziki wa Bongo Fleva, Zuhura Othuman 'Zuchu' ameachia video ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la Utaniua.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Zuchu ameandika kuwa, video ya wimbo huo ambao ameuchia leo Mei Mosi, 2023 majira ya saa tano asubuhi, imeongozwa (directed) na Diamond Platnumz.

Ikumbukwe, mbali na video hiyo kuongozwa na Diamond, bado aliyecheza kama mpenzi wa Zuchu kwenye video hiyo ni huyohuyo Diamond ambaye kiuhalisia pia wana mahusiano ya kimapenzi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad