Aibu Kubwa..Zari Hassan Ashindwa Kufika Kwenye Show London Kisa Mumewe Hajakatiwa TICKET na Muuandaaji





Baada ya Sekeseke la Zari Kususia Show iliyoandaliwa huko Uingereza na kueleza sababu za kufanya hivyo kuwa ni Muandaaji Kutotimiza waliyokubaliana, Muandaaji wa Show hiyo @ladynaaaa amefunguka kupitia #Mashamsham kilichotokea

Lady Naa (Muandaaji) amesema kuwa Zari alimuomba amkatie visa yeye (Zari) na Mume wake (Shakib) na Lady Naa akafanya hivyo.

Ilipokuja Suala la Tiketi, Lady Naa alimuuliza Zari Inakuaje kuhusu Shakib (Mume wa Zari), Zari akamuomba Lady Naa amkatie pia Shakib alafu atamkata kwenye mapato ya Show

"Nilimuambia Zari Amkatie mume wake tiketi mwenyewe sababu Kwa Sasa ni gharama kubwa ila akaniambia nikate Mimi Kisha nitamkata kwenye malipo ya show nikakubali, kama ni bilionea alipaswa kumkatia Mumewe tiketi"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad