Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imetoa dhamamana ya masharti kwa mtuhumiwa wa kesi ya jinai namba 80 ya Mwaka 2023, Isaac Mnyagi anayedaiwa kuhusika na tukio la kumshambulia mkewe na kumung’oa jino huko Arusha.