Angela :Nilikuwa Nachukua Asilimia 40, Konde Gand Ndio Waliovunja Mkataba


Msanii wa muziki wa bongofleva @anjella_tz hatimaye amefunguka baada ya kuondoka kwenye record label ya Konde Music worldwide inayomilikiwa na @harmonize_tz.

kupitia interview aliyoifanya kwenye kipindi cha amplifaya Anjella amedai kuwa Konde music worldwide ndio waliovunja mkataba na yeye na alikua akichukua asilimia 40% kwenye mauzo yake ya muziki wakati yupo chini ya label hiyo.

@anjella_tz ameongeza kwa kusema kuwa hela kubwa aliyowahi kuingiza wakati yupo chini ya label hiyo kupitia mauzo yake kwenye digital platforms ilikua ni milioni 4 aliyolipwa kwa miezi minne.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad