Anjella: Sihitaji Kuwa Chini ya Lebo kwa Sasa

 

Anjella: Sihitaji Kuwa Chini ya Lebo kwa Sasa

Anjella amefunguka kuhusu mipango yake baada ya kutoka kwenye Lebo ya Kondegang na kama itatokea na nafasi ya kurudi ndani ya lebo hiyo.


Anjella akiwa kwenye Mahojiano na AyoTv amefunguka kuwa kwa sasa haitaji kuwa chini ya Lebo yoyote baada ya kutoka Kondegang kwani anahitaji kupambania muziki wake mwenyewe.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad