Baba Levo "Nilivuta Bangi Nikazima"

 


Mtangazaji na chawa wa Diamond, Baba Levo amesimulia jinsi alivyowahi kuvuta bangi miaka ya nyuma na kujikuta amezima.


Baba Levo ameyasema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Jana na Leo ambapo alipokuwa akipiga soga ndipo akaeleza jambo hilo.


"Bangi sio nzuri mimi mwenyewe nilishawahi kuvuta, nilizima. Nilikuwa na washkaji nikazima, nimekuja kukaa sawa nikaenda nyumbani nikamkuta mama anapeta mchele ndipo nikawa nafurahi," alisema Baba Levo.


Baba Levo alisema aliyemshauri kuacha bangi alikuwa ni kaka yake

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad