BAJETI: Mshahara Kima Cha Chini 370,000



Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu
Hassan ameonesha nia na jitihada kubwa katika
kuboresha Utumishi wa Umma nchini kwa kuzingatia sera, sheria, kanuni na miongozo iliyopo. Kutokana na jitihada hizo mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na kupandisha madaraja watumishi 135,170
wenye sifa stahiki ambapo hadi Aprili
2023, jumla ya shilingi bilioni 177.9
zimetumika.

"Kuongeza mishahara ya watumishi wa umma, ambapo kima cha chini cha mishahara kiliongezeka kutoka shilingi
300,000 hadi shilingi 370,000" (@mwigulunchemba) Waziri wa Fedha na Mipango.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad