BAJETI: Serikali Kuondoa Ada Vyuo vya Ufundi , DIT, MUST na ATC

Serikali Kuondoa Ada Vyuo vya Ufundi , DIT, MUST na ATC


Serikali imependekeza kuondoa ada kwa anafunzi wanaomaliza kidato cha nne na kupangiwa na Serikali kujiunga na Vyuo vya Ufundi vya Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), Mbeya University of Science and Technology (MUST) na Arusha Technical College (ATC).

Hatua hiyo imelenga kuongeza idadi ya wataalamu wenye ujuzi na elimu inayohitajika katika zama za mapinduzi ya nne ya viwanda.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad