Biko Atabiri Mwisho Mbaya wa Eng. Hersi Yanga.. Hajui Kucheza Karata zake




𝗛𝗘𝗥𝗦𝗜 𝗔𝗡𝗔𝗣𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗣𝗜𝗖𝗛𝗔 𝗣𝗜𝗖𝗛𝗔 𝗜𝗟𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢"

Anatabiri Mchambuzi wa Clouds Fm @scanda24 ✍️

"Hakuna mtu anamchukia Eng Hersi, Hakuna mtu anaichukia Yanga na Hakuna mtu anachukia mafanikio ya Yanga bali watu wanachukia namna namna za mambo yanavyofanywa. Tunaongea kwa Heshima na mustakabali mkubwa wa kiwanda na adabu ya Uongozi"
.
"Eng. Hersi hajui Kucheza Drafti na kusukuma kete zake kwa watu wenye ubongo timilifu, hawajui Yanga, hawajui namna mashabiki wa Yanga hawajali cheo wala pesa za mtu linapokuja suala la Klabu yao. Siku akianza kuboronga, siku mambo yakiharibika ataona rangi zote zinazoshabihiana na Yanga. Huu ni mchezo wa Hisia"

"Ile Ishu ya Haji Manara ya Kumtukana Karia, alienda kumuombea Haji Msamaha kwa Karia lakini Klabu haijawahi kulaani kile kitendo na badala yake alionesha DHARAU kubwa kwa Mamlaka za Soka kwa kumualika Haji kwenye shughuli ya #SikuYaWanaNchi. Nafikiri anapenda sana mapicha picha, ila yana mwisho"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad