BREAKING: Bunge Lapitisha Azimio la Serikali Kuipa Uendeshaji wa Bandari DP World




Bunge limepitisha mkataba kuhusu Ushirikiano wa #Tanzania na Kampuni ya #Dubai ya #DPWorld katika Uendeshaji, Uendelezaji na Uboreshaji wa baadhi ya Bandari zote za Baharini na Maziwa zilizopo Tanzania Bara, ikiwemo Bandari ya Dar es Salaam

Mkataba huo uliibua maswali kutoka kwa Wananchi ikiwemo thamani na muda wa utekelezaji, pia sababu za Tanzania kuingia mkataba na kampuni inayotajwa katika kesi za ukwepaji kodi, migogoro katika utekelezaji mikataba iliyosababisha baadhi ya nchi kuvunja mikataba

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad