BREAKING News: Feisal Tayari Kasign Mkataba na Azam Kapewa Jezi Namba 6


Feisal Tayari Kasign Mkataba na Azam Kapewa Jezi Namba 6
Fei toto Mkataba Azam

Wakati Club ya Yanga SC ikitangaza kupokea ofa ya Azam FC na kuthibitisha kumuuza Mchezaji huyo baada ya makubaliano ya pande zote mbili, Feisal tayari amesaini mkataba na Azam FC.

Feisal ameonekana akisaini mkataba wake mpya mbele ya Viongozi wa Club hiyo katika tukio ambalo limerushwa LIVE kupitia AzamTV.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad